Chorus / Description :
Kuongozwa kunishika kwa mkono wa hakika
Nitaandamana naye kristo aniongozaye
Kuongozwa kunishika kwa mkono wa hakika
Nitaandamana naye kristo aniongozaye
Rap:
Chukua ushukani wa maisha yangu
Wewe ongoza mwenendo wangu
Kristo aniongozaye
He leadeth me
Oh blessed oh blessed thought
Oh words with heavenly comfort fraught
Whatever I do wherever I be
Still tis God's hand that leadeth me
He leadeth me
He leadeth me
His faithful follower I will be
For by His hand He leadeth me
Kuongozwa kunishika kwa mkono wa hakika
Nitaandamana naye kristo aniongozaye
...