Chorus / Description :
Vidole vyote size different oh, size different oh
Kila moja there's different oh, there's different oh
Mungu alikuumba, wacha malungu (malungu malungu)
Unajilinganisha na wengine kwa nini (kwa nini, Kwa nini)
(repeat *2)
Tembea polepole kwa mwendo wako mwenyewe
Jaribu ujikune pale mkono wako ufikapo
Uko sawa wewe hivyo ulivyo ndugu
Tofauti yako ndiyo inafanya uwe malungu
Vidole vyote size different oh, size different oh
Kila moja there's different oh, there's different oh
Today let's thank God for it
Tomorrow make and hope for it
Just take one day at a time oh
Take one day at a time oh