Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi

By Guardian Angel

Lyrics

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe


Wa kupewa sifa ni wewe 

Wa kuabudiwa ni wewe 

Wa kuhimidiwa ni wewe 

Wa kuheshimiwa ni wewe 


Uliye mwalimu bila shahada 

Uponyeaye bila kusomea dawa 

Pokea hii sadaka ya juu Bwana 

Pokea sala zetu Baba 

Utuondoleae lawama 

Uliyeumba wala hukuumbwa 

Si ni wewe? Si ni wewe? Si ni wewe? 

Ni wewe 


Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe


Pokea sifa zetu Bwana 

Tunakuabudu Bwana 

Tunakuheshimu Bwana 

Wa kuabudiwa ni wewe 


Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe

Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

Ni Wewe BY Guardian Angel X Esther Wahome SMS skiza 7500484 to 811