Yesu Ni Wangu - Wa Uzima Wa Milele

by Danny Gift

Chorus

Yesu ni wangu 

Ni Wa uzima wamilele 

Yesu ni wangu 

Ni Wa uzima wamilele 


Guardian Angel:

Bwana Yesu ni mwokozi wangu 

(Wa uzima wa milele) 


Yesu ni wa uzima (wamilele) 

Wa uzima (wamilele) 

Wa uzima (wamilele) 


Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 

We ndo wangu wa uzima (wamilele)  

Niende wapi na kwako ndo kuna uzima 

ni wako ni wangu wa uzima (wamilele) 

Nainua macho milimani 

Msaada wangu utatoka wapi? 

Msaada wangu utatoka kwako Bwana 


Yesu ni wangu 

Ni Wa uzima wamilele 

Yesu ni wangu 

Ni Wa uzima wamilele 

Yesu ni wa uzima (wamilele) 

Wa uzima (wamilele) 

Ni wa uzima (wamilele) 


Kama ni binadamu basi wangukuwa wanacontrol maisha 

Basi tungepata taabu kibao 

Kungekuwa na duka ya kuuza uzima 

Futi moja wangekuuzia zaidi ya thao 

Devil anakuja kukill steal and destroy 

But ulikuja ili tupate uzima kibao 

Mwambia (devil) ameshindwa ametupa mbao 

Mimi si wao (si wao) 

Jesus christ wewe ndio kiboko yao 

Na mimi nakwishia kwangu wewe ndiye fao 


Ni wa uzima (wa milele) 

Wa uzima (wamilele) 

We ndo njia, kweli na uzima 


Yesu ni wangu 

Ni wa uzima wamilele 

Yesu ni wangu 

Ni Wa uzima wamilele 

Yesu ni wa uzima (wamilele) 

Wa uzima (wamilele) 

Ni wa uzima (wamilele)


Share