Chorus / Description :
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Ndege waanza nawewe nani aliyewapa amani
Walioamka mapema kuimba nyimbo mpya siku mpya
Huku na wewe waamka kuanza kulalamika
Kwa majirani mara nile nini
Kesho ntalala wapi nyumba ikifungwa
Jifunze kumuamini kuishi kwa njia zake
Ju wewe ni mali yake
Sehemu ya mwenye haki ni baraka kumiliki
Na huu mwaka haitingiki kwako waambie
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Kilichozuia baraka maishani mwaka mwaka iliyopita
Bwana Yesu ameondoa hakipo tena
Umezunguka milima kwa muda murefu huendi popote
Bwana Yesu amefungua milango yako asante sana
Endelea kumuamini kuishi kwa njia zake
Ju wewe ni mali yake atakufariji
Utii amri zake kulingana na neno lake
Na huu mwaka hautingiki kwa itatibika neno lake
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Penya mwenyangu penya - penya
Kazini na kwako nyumbani - penya
Maisha ni kwako ? - penya
Umebarikiwa Mshukuru aliyekubariki
Hewa safi hekima maarifa - penya
Familia nzuri - penya
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa
Huu ni wakati wako, wakati wakubarikiwa
Huu ni wakati wako, wakati wakuinuliwa