Jemimmah Thiong'o - Mipango Ya Mungu

Chorus / Description : Mipango ya mungu ni ya ajabu.
Mipango ya mungu haipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
haweza kuipangua mipango ya mungu.

Mipango Ya Mungu Lyrics

Mipango ya mungu ni ya ajabu.
Mipango ya mungu haipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
haweza kuipangua mipango ya mungu.

Kila mtu ana riziki yake .
Kila mtu ana baraka zake.
Mafanyikio maishani mwetu
huenda sambamba na mipango ya mungu .

Mipango ya mungu ni ya ajabu .
Mipango ya mungu haipangapo
hakuna mwanadamu aweza
kuipangua mipango ya mungu.

Kuzaliwa malezi na elimu
sijivune mungu ndiye aliyepanga.
Alipanga upate hivi vyote
ili ukaweze kumtukuza kwazo.

Mipango ya mungu ni ya ajabu.
Mipango ya mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
aweza kuipangua mipango ya mungu.

Alipanga mchana kuwe jua
akapanga usiku kuwe mwezi
giza usiku na mwanga mchana.
Ni nani atayesema.
Aweza kuipangua.

Mipango ya mungu ni ya ajabu
mipango ya mungu aipangapo
hakuna mwanadamu yeyote
aweza kuipangua mipango ya mungu.

Mipango Ya Mungu Video

  • Song: Mipango Ya Mungu
  • Artist(s): Jemimmah Thiong'o


Share: