Joan Wairimu - Pambazuka Na Yesu

Chorus / Description : Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Tega masikio, nikueleze
Siri ya ndege mwenzangu
sikiliza, nikuelezee
siri ya ndege mwenzangu
Asubuhi na mapema
Yuwa msifu bwana
kabla ya kula na kunywa
kabla ya kazi yeyote

Pambazuka Na Yesu Lyrics

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Tazama dada, ndege wa angani
hapandi wala kulima 
Tazama ndugu, ndege wa angani
hapandi wala kulima
Lakini huwala na kunywa
kwa kuwa yuajuwa siri
Lakini huwala na kunywa
kwa kuwa yuajuwa siri 

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Mbona wapanda, walima 
Tena walala na njaa 
Mbona wapanda, walima 
tena walala na njaa
Na wewe ni wa maana
kuliko ndege wa angani
Gundua siri ya ndege
pambazuka na Yesu

Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu
Pambazuka na Yesu

Tega masikio, nikuelezee
Siri ya ndege mwenzangu 
sikiliza, nikuelezee 
siri ya ndege mwenzangu 
Asubuhi na mapema
Yuwa msifu bwana
kabla ya kula na kunywa
kabla ya kazi yeyote

Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 

Asubuhi na mapema 
kabla ya kazi yeyote 
piga magoti, inua mikono
losa sauti yako 
sifu bwana asubuhi 
amka mbele ya ndege 
Sifu bwana asubuhi 
kwa kuwa wewe wa muhimu 

Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 
Pambazuka na Yesu 

Pambazuka Na Yesu Video

  • Song: Pambazuka Na Yesu
  • Artist(s): Joan Wairimu


Share: