Joel Lwaga - Usipigane

Chorus / Description : Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Usipigane Lyrics

Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Acha kutarajia, ishundi
Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh
Vita ni ya mungu
Mwache ye atakupigania tu
Acha kuhangaika, na wanadamu
Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh
Hao ni wanadamu ,ni watu tu
Watakuhunisha tu eh eh eh
Alimwanbia musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo
Hawatawaona tena eh eh eh
Yesu nae kajiita Bwana wa sabato
Sabato maana yake pumziko
Tabasamu katikati ya mapito
Ukimwamini Bwana
Usipiganeee

Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Kuna yale
Ya wewe kufanya
Na kuna yale ya mungu kufanya
Usimsaidie
Yale yak wake maana hautaweza
Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh
Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya Bwana
Usipiganeeeee eeeeeh

Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya Bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Usipigane Video

  • Song: Usipigane
  • Artist(s): Joel Lwaga


Share:

Bible Verses for Usipigane

Exodus 14 : 13

And Moses said unto the people, Fear ye not, stand still, and see the salvation of Jehovah, which he will work for you to-day: for the Egyptians whom ye have seen to-day, ye shall see them again no more for ever.

2nd Chronicles 20 : 15

and he said, Hearken ye, all Judah, and ye inhabitants of Jerusalem, and thou king Jehoshaphat: Thus saith Jehovah unto you, Fear not ye, neither be dismayed by reason of this great multitude; for the battle is not yours, but God's.