Sitabaki Nilivyo

By Joel Lwaga

Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai .

Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo .

Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite .

Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo

JOEL LWAGA - Sitabaki Nilivyo (Official Video)