Chorus / Description :
Haleluya Haleluya
Haleluya Mwana kondoo wa Mungu
Uliyemwaga damu
Naimba Haleluya
Ulikubali mateso ya msalaba
Ukalipa gharama yangu kwa damu
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini
Ulikubali mateso ya msalaba
Ukalipa gharama yangu kwa damu
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini
Ulikubali mateso ya msalaba
Ukalipa gharama yangu kwa damu
Uliona kuwa Mungu si kitu, ukashuka chini
Haleluya Haleluya
Haleluya Mwana kondoo wa Mungu
Uliyemwaga damu
Naimba Haleluya
Haleluya Haleluya
Haleluya Mwana kondoo wa Mungu
Uliyemwaga damu
Naimba Haleluya
Oh oh oooh-ooh-oh
Mwanakondoo wa Mungu
Uliyemwaga damu
Naimba Haleluya