Chorus / Description :
Yesu jina lako, limeinuliwa juu
Lapita maina Yote, twakuabudu
Yesu jina lako, ni dawa kwa mataifa
Wastahili wewe tu Bwana
Yesu jina lako, limeinuliwa juu
Lapita maina Yote, twakuabudu
Yesu jina lako, ni dawa kwa mataifa
Wastahili wewe tu, Bwana
Umezungukwa na utukufu wako
Umejivika heshima kama vazi
Hakuna kama wewe
(rudia)
Mshauri wa ajabu
Mungu mwenye nguvu
Baba wa milele
Nani kama wewe
Nani kama wewe
Kuhani mwombezi
Rafiki nana kama wewe
Hakuna kama wewe wakufanana
Wakufanana nawe hakunaa
Wakulingana nawe hakunaa
Hakuna mwingine kama wewe
(rudia)
Una nguvu, una nguvu
Una nguvu Bwana
(rudia)
Haleluya Haleluya
Haleluya Bwana
Mtakatifu Mtakatifu
Mtakatifu Bwana
Wakufanana nawe hakunaa
Wakulingana nawe hakunaa
Hakuna mwingine kama wewe
(rudia)