Hakuna Gumu Kwako

By John Lisu

Lyrics

Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu 

Umefanya mengi ya ajabu 

Wewe ni mfalme 


Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako


Ulitembea juu ya maji YESU 

Hakuna gumu kwako

Wafanya njia pasipo na njia 

Hakuna gumu kwako 


Na wagonjwa wanapona YESU 

Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako


Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako


Kuta za gereza zatingizika 

Minyaroro yakatika 

Wafungwa wafunguliwa Yesu 

Hakuna gumu kwako


Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako


Mashtaka yetu yamefutwa 

Vita vyetu ni juu ya Bwana 

Falme zitainuka, falme zitaanguka 

Bali ufalme wako wadumu 


Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu 

Hakuna gumu kwako


Milima yayeyuka kama nta mbele zako 

Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu

Uliumba pasipo wewe kuumbwa 

Wewe ni mfalme 

"John Lisu - Hakuna Gumu Kwako (Official Video) Skiza Tunes SMS 7638139 \/ 7639140 to 811"