Chorus / Description :
Nitasimulia ukuu wako
Nitatangaza upendo wako
Nitaimba imba wimbo mpya
Kwani hakuna kama wewe
Simba wa Yuda
Verse 1:
Simba wa Yudah usiyeshindwa
Twainama mbele zako tukisema
Wewe ni mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe
Chorus:
Nitasimulia ukuu wako
Nitatangaza upendo wako
Nitaimba imba wimbo mpya
Kwani hakuna kama wewe
Simba wa Yuda
Verse 2:
Matendo Yako ni ya ajabu
Mbingu na nchi pia zakusifu
Ufalme wako wadumu milele
Hakuna kama wewe
Nitasimulia ukuu wako
Nitatangaza upendo wako
Nitaimba imba wimbo mpya
Kwani hakuna kama wewe
Simba wa Yuda
Vamp out:
Wastahili sifa, twakuabudu eh Bwana
Wastahili sifa, pokea heshima