Naamini

By Joyce Omondi

Lyrics

VERSE 1

Haya mapito si ya bure     

Najua nitauona mkono wako

Ushaona mwisho kutoka mwanzo

Chochote nahitaji ni ndani yako

Yesu, wewe ni mwaminifu


PRE-CHORUS

Jina lako lihimidiwe

Tawala baba milele


CHORUS

Naamini, Naamini, Naamini ( I Believe)

Mtetezi wangu yu hai (My redeemer lives)

Naamini, Naamini, Naamini

Yu hai, Yu hai, Yu hai, Yu hai


VERSE 2

Mtetezi wangu anaishi leo

Yu hai, Yu hai, Yu hai

Yaliyo kusudiwa mabaya

Umegeuzia mema

Wewe ni mwaminifu


SMS SKIZA TUNE 76310149