Ni Neema - Tumepewa Neema Lyrics

Nina neno leo nataka niongee nanyi 
Nina ujumbe kwenyu nataka niongee nanyi 
Nimetumwa kwenyu nataka niwape habari 
Nataka nizungumze na watoto wa Afrika 

Katika mapito Yetu Bwana atatukumbuka 
Njaa inayotukumbuka Bwana atatukumbuka 
Vita zinazotukumba Bwana atatukumbuka 
Magonjwa yanayotutesa, Bwana atatukumbuka 
Nimetumwa nizungumze na watoto wa Afrika 

Kanisa tumsifu Mungu maana tumepewa neema 
Wahubiri hubirini kwa kweli maana tumepewa neema 
Wana Afrika tumwabudu Mungu, Maana tumepewa neema 
Ni Nee Neema Nee neema, Ni Nee Neema Nee neema,

Tusipoomba kwa bidii hakuna atakayekula mali za jo*
Tusipo omba kwa bidii hakuna atakeyekuja maliza vita 
Tusiposhikama hakuna atakayevunja hali za magonjwa 
Tusiposimama wenyewe hakuna atakayekuja kututetea 
...
SMS: SKIZA 8540277 TO 811 TO GET THIS SONG

Ni Neema - Tumepewa Neema VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Ni Neema - Tumepewa Neema :

0 Comments/Reviews