Kambua - Tutaonana Tena

Chorus / Description : Tutaonana.. tenaaa..×4

Tutaonana Tena Lyrics

It's never the the right time 
to say goodbye(bye bye),
It's never the right time 
to close the door.. 
in my heart i remember... 
the love we shared, the joy and laughter..
Ulinifunza kupenda, 
kanifunza kusimana na 
kupaza sauti yangu ili nisikike,
Ulinishika mkono wangu nipanguza machozi yangu,
Sio mwisho tutaonana tena.

Tutaonana.. tenaaa..4

Time goes by can't get the memories of my mind,
But I will try to get over you,
I will try to live just like you,
When the pain gets too much nitasema naye mungu,
Ntamwambia maswali yangu, 
nimwachie uchungu wangu na uzito wangu wote mimi nimtolee,
Ndani yake kuna uhai,
Ndani yake nina imani, sio mwisho tutaonana tena.

Tutaonana.. tenaaa..4

Even when the tears come falling down,
Even when your heart just wants to break, 
He will never leave you, he will never leave you 2

Tutaonana Tena Video

  • Song: Tutaonana Tena
  • Artist(s): Kambua
  • Album: Tutaonana Tena - Single
  • Release Date: 11 Apr 2023
Tutaonana Tena Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: