Shukrani

By Kambua

Lyrics

Mungu wa furaha yangu wajua kunifurahisha 

We ni Mungu wa kicheko changu 

Wajua kunichekesha kweli 

Mungu wa amani yangu wajua kunipa amani 

Mungu wa imani yangu wajua kulinda wokovu wangu


Kwa yale yote umetenda niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu nitoe shukrani


Niwewe una uwezo wa kuona huzuni uliofichwa

Chini ya kicheko 

Niwewe una uwezo wa kufuta machozi yaliyofichwa

Chini ya kicheko changu 

Niwewe una uwezo wa kuona vidonda vya ndani 

Vidonda vya roho 

Niwewe una uwezo wa kuponya vidonda vya ndani

Vidonda vya roho yangu 


Kwa yale yote umetenda niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu nitoe shukrani

Niruhusu nitoe shukrani


Niruhusu niimbe wema wako 

Niruhusu niimbe wema wako 

Kambua ~ Shukrani (Official Music Video) SMS (SKIZA 6384640) to 811