Sifa Music - Anza Vyote na Yesu

Chorus / Description : Anza vyote na Yesu kila kunapokucha
umweleze Yeye shida zako..
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.

Anza Vyote na Yesu Lyrics

Anza vyote na Yesu kila kunapokucha
umweleze Yeye shida zako..
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.

Manabii na mitume walianza na Yesu
wakapata mema kwake Yesu.
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu.

Piga makoti omba
zungumuza na Yesu
atakujibu mambo yako.
anza vyote na Yesu.

Kila siku anza na Yesu
asubuhi ata na jioni
mwambie shida zako..
anza vyote na Yesu. (x2)


Anza Vyote na Yesu Video

  • Song: Anza Vyote na Yesu
  • Artist(s): Sifa Music


Share: