Sifa Music - Bwana ni Nguvu yangu

Chorus / Description : Bwana ni nguvu yangu,
Na Ngao yangu
Wokovu wangu

Pazeni Sauti,
Shangwe na nderemo
Tumshangilie ehhh….,
Yesu ni wetu

Bwana ni Nguvu yangu Lyrics

Bwana ni nguvu yangu,
Na Ngao yangu
Wokovu wangu

Pazeni Sauti,
Shangwe na nderemo
Tumshangilie ehhh?.,
Yesu ni wetu

Milele na milele,
Amemshinda shetani,
Tumshangilie ehhh
Bwana ni wetu

"WEWE BWANA NGUVU YANGU By J,MGANDU"

  • Song: Bwana ni Nguvu yangu
  • Artist(s): Sifa Music


Share: