Lavender Obuya - Sema Nami

Chorus / Description : Sema nami ,sema nami
sema nami,sema na Moyo wangu
Ulikuwepo toka mwanzo
Ulitangaza nchi juu ya maji

Sema Nami Lyrics

Sema nami sema nami sema na mimi
sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu

Ulikuwepo toka mwanzo
Ulitangaza nchi juu ya maji
We wajua nisioyajua
Baba sema na moyo wangu
We wajua kuishi kwangu
Waelewa njia zangu
Nitendalo kwa siri wajua
Naomba nena na moyo wangu

Sema nami ,sema nami
sema nami,sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu

Chunguza nafsi yangu Bwana
Weka wazi makosa yangu
Ninataka kutubu Bwana, natamani kukaa nawewe
Usinifiche uso wako sina mwingine wa kukimbilia
Mungu sema na mimi, sema na moyo wangu

Sema nami ,sema nami
sema nami,sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami, sema na Moyo wangu

Halleluya aah Weee, sema na moyo wangu Bwana
Moyo wangu wakutamani , natamani roho wako
Natamani mguzo wako, naomba nena na moyo wangu
Nibadilishe nikufanane Mungu ninaomba
Usinipite Bwana, Yesu sema na moyo wangu

Sema nami ,sema nami
sema nami,sema na Moyo wangu
Sema nami, sema nami
Sema nami, sema na Moyo wangu

Sema Nami Video

  • Song: Sema Nami
  • Artist(s): Lavender Obuya


Share: