Chorus / Description :
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kaondoa aibu
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kaondoa majuto
Iko neema aah
Neema itufanyayo tumebadilika
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu Baba hah
Jana nililia mwenzio
Amenitengeneza huyu Baba hah
Jana niliteswa sana
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Jana nilifukuzwa
Amenitengeneza huyu Baba hah
Jana nilikimbiwa
Amenitengeneza huyu Baba hah
Leo nimenyamaza
Amenitengeneza huyu Baba hah
Leo nimenyamaza
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amefanya leo niimbe
Yesu amefanya leo niimbe
Amenipenda kulivyo nilivyofikiria
Amenitunza kuliko nilivyodhania
Alinitoa kule wengine walitaka nibakia
Alinitoa kule wengine walitaka nilie
Alinibembeleza na mimi
Amenifanya kuwa neema kati ya wenye neema
Sikujua na mimi leo nitabadilika
Maana jana yangu nililia aah aha
Maana jana yangu niliteseka aah aha
Nakwambia nimetengenezwa na Baba
Ni kweli mimi nimebadilishwa na Baba
Amenipenda kiasi kile sikujua
Usinione hivi nilivyo amenipenda Baba
Amenitengeneza huyu Baba
Amenibadilisha huyu Baba
Amenibadilisha huyu Baba
Halleluyah
Amenitengeneza huyu Baba hah
Huyu Baba wa mimi
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza
Amenitengeneza huyu Baba hah
kaondoa aibu
Amenitengeneza huyu Baba hah
Nikaondoa fedheha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha na mimi
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenibadilisha na mimi
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitoa nyuma
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitoa nyuma
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenileta mbele na mimi
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenileta mbele na mimi
Amenitengeneza huyu Baba hah
Huyu Baba
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amefanya adui zangu waaibike
Amefanya watesi wangu waaibike
Walio taka niwe vile walivyonijua
Waliopenda niwe vile walivyonijua
Mimi leo nimebadilishwa aah aha
Mimi sasa nimetengenezwa aah aha
Amenibadilisha huyu Baba ah
Amenitengeneza huyu Baba ah
Alikuja kama mtawala wa haki kwangu
Alikuja kama mtawala wa haki kwangu
Akatawala maisha yangu yote
Ametawala mawazo yangu yote
Amebadilisha hadi tembea yangu mwenzenu
Amebadilisha hadi ongea yangu mwenzenu
Leo nimevikwa utukufu aah aha
Leo nimevikwa heshima aah aha
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza huyu Baba hah
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kaondoa aibu
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kaondoa majuto
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kaondoa dharau
Amenitengeneza huyu Baba hah
Kanipandisha juu
Amenitengeneza huyu Baba hah