Martha Mwaipaja - Ninajulikana Mbinguni

Chorus / Description : Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu

Ninajulikana Mbinguni Lyrics

Ninajulikana mbinguni, ninaheshimiwa mbinguni
Nimehesabiwa na Yesu mwenyewe 
Ananitsha milele 
Ninajulikana kwa Baba, ninaendelea kwa Yesu
Nimehesabiwa mbinguni juu 
Amenipenda mimi mwokozi

Sijajiweka mwenyewe mimi mwenzio 
Nimewekwa na Mungu 
Sijawai jitambulisha mwenyewe 
Nimetambulishwa na Baba 
Walisemezana tusimtambulishe huyu 
Nimetambulishwa mbinguni ii

Wakasema tusimchague, nimechaguliwa mbinguni 
Wakasema tusimkubali, nimekubaliwa na Baba 
Nimewekwa na Mungu mwenyewe, najulikana mbinguni 
Hahaa najulikana mbingu

Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu 
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu 
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu 
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu 

Unajulikana mbinguni rafiki, mbingu inakujua 
Wametangaziana wasikusaidie, umesaidiwa na Mungu 
Wameambizana wasikutendee mema, umetendewa na Baba 
Wamesema wasikufute kwenye ukoo wao, umeandikiswa mbinguni 
Wamekataa kukutambulisha, unatambulishwa na Mungu 
Walisema hawatakujibu kabisa umeponywa na Mungu 
Wamekataa kukubeba, utabebwa na Yahweh 
Hujui vile nimependwa na Mungu 

Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu
Ninajulikana mbinguni, ninaendelea na Yesu

Ninajulikana Mbinguni Video

  • Song: Ninajulikana Mbinguni
  • Artist(s): Martha Mwaipaja

Share: