Chorus / Description :
Nafsi yangu yakungoja Bwana
Kuliko walinzi wangojavyo asubuhi
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Nafsi yangu, yakungoja Bwana
Kuliko walinzi, wangojavyo asubuhi
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Wale wote, wamngojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Wamngojao Mungu wao
Watafanywa upya
Nguvu zao maishani
Wale wote
Ewe dada, ukimngoja Bwana
Utafanywa upya
Nguvu zako maishani
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Wale wote wangojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani
Wale wote wangojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja
Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja