Nataka Nikujue Nikufahamu Bwana
Lyrics
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue
Moyo wangu watamani nataka nikujue .
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue .
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue
Moyo wangu watamani nataka nikujue .
Evelyn Wanjiru - NIKUFAHAMU (Know You Lord)
Song Information
- Artist
- Martha Mwangi
- Released
- May 27, 2016
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 3,605