Martha Mwangi - Umekuwa Nami

Chorus / Description : Baba nashukuru kwa yale yote umenitendea
Baba nashukuru kwa yale yote utatenda
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba)
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba)

Umekuwa Nami Lyrics

Baba nashukuru kwa yale yote umenitendea
Baba nashukuru kwa yale yote utatenda 
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba) 
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba) 

Kuna mengi nimeyaona nikadhani nimefika mwisho 
Mengi nimesikia yangenifanya nife moyo 
Lakini Baba ukatembea nami Hujaniacha 
Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba) 
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba) 
Umekuwa nami Baba 

Machozi niliyolia Baba umeyapanguza 
Yote nilipoteza Baba umerejesha 
Imani yangu kwako Baba imerejeshwa 
Furaha iliyopotea nimeipata kwako 
Roho mtakatifu umenitia nguvu 
Roho mtakatifu umenitia nguvu 

Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba) 
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba) 
Umekuwa nami Baba 

Umekuwa nami (Baba) Umekuwa nami (Baba) 
Nashukuru (Baba) Nashukuru (Baba) 
Umekuwa nami Baba 

Umekuwa Nami Video

  • Song: Umekuwa Nami
  • Artist(s): Martha Mwangi


Share: