Mercy Linah - Hutendeka Kwa Wema

Chorus / Description : Najipa moyo katika Bwana najua
Yote hutendeka kwa wema
katika yale yote mimi napitia
Yote hutendeka kwa wema
Hata nipite katika katikati ya moto
Sitaogopa Yote hutendeka kwa wema
Mimi ninaye Baba aliye pamoja nami kila wakati
Yote hutendeka kwa wema

Katika mambo yote
Mungu hufanya kazi na kuifanikisha
Wowowoo pamoja na wote wampendao
aliowaita kadiri Ya kusudi lake

Hutendeka Kwa Wema Lyrics

Najipa moyo katika Bwana najua 
Yote hutendeka kwa wema 
katika yale yote mimi napitia 
Yote hutendeka kwa wema 
Hata nipite katika katikati ya moto 
Sitaogopa Yote hutendeka kwa wema 
Mimi ninaye Baba aliye pamoja nami kila wakati 
Yote hutendeka kwa wema 

Katika mambo yote 
Mungu hufanya kazi na kuifanikisha 
Wowowoo pamoja na wote wampendao 
aliowaita kadiri Ya kusudi lake 

Wewe uliyepoteza kazi kumbuka 
(Yote hutendeka kwa wema) 
Tena umepatwa na msiba 
Mungu ndiye nguvu yako 
(Yote hutendeka kwa wema) 
Usinun'gunike usilalamike 
(Yote hutendeka kwa wema) 

Katika mambo yote 
Mungu hufanya kazi na kuifanikisha 
Wowowoo pamoja na wote wampendao 
aliowaita kadiri Ya kusudi lake 
...

Hutendeka Kwa Wema Video

  • Song: Hutendeka Kwa Wema
  • Artist(s): Mercy Linah


Share: