Mercy Masika - Shangilia Yesu Anaweza

Chorus / Description : Shangilia Yesu anaweza
Yesu anaweza, Yesu anaweza
Anaweza mwana wa Mungu

Shangilia Yesu Anaweza Lyrics

Shangilia Yesu anaweza 
Yesu anaweza, Yesu anaweza 

Shangilia Yesu anaponya 
Yesu anaponya, Yesu anaponya 

Shangilia Yesu abariki
Yesu abariki, Yesu abariki

Shangilia Yesu ainua 
Yesu ainua, Yesu ainua 

Anaweza anaweza 
Anaweza mwana wa Mungu 
Anaweza anaweza 
Anaweza mwana wa Mungu 

Mponyaji mponyaji 
Mponyaji mwana wa Mungu 
Mponyaji mponyaji 
Mponyaji mwana wa Mungu 

Tunasherekea ushindi wa Bwana 
Kwa jina la Yesu ni ngome imara 
Tunasherekea ushindi wa Bwana 
Kwa jina la Yesu ni ngome imara 

Bwana Yesu anameremeta (anameremeta) 
Utukufu wake unameremeta (unameremeta)
Uso wake unameremeta (unameremeta)
Bwana Yesu anameremeta (anameremeta)
Ametukuka na malaika anameremeta (anameremeta)
Maserufi wanamuabudu Yeye (anameremeta)
Aah aah anameremeta (anameremeta) 
Aah aah anameremeta (anameremeta)

Sikuoni ukiabudu Mungu wee inuka ucheze
Sikuoni ukiabudu Mungu wee amka ucheze
Inua Yesu (Yesu)

Eeeh Yahweh Yahweh Yahweh
Yaweh Yahweh (eeeeh Yahweh eeh Yahweh)
Pokea Utukufu..
Eeeh Yahweh Yahweh Yahweh
Yaweh Yahweh (eeeeh Yahweh eeh Yahweh)

Mbariki yeh mbariki 
Mbariki mbariki

Shangilia Yesu Anaweza Video

  • Song: Shangilia Yesu Anaweza
  • Artist(s): Mercy Masika


Share: