Wastahili

By Mercy Masika

Lyrics

Mungu wa wokovu wangu

Wastahili kusifiwa

Hakuna kama wewe Yesu

Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu

Cha kushikamana nacho

Ukaacha enzi ukashuka kwetu

Kule kuwa kama Mungu uliona si kitu

Cha kushikamana nacho

Ukaacha enzi ukashuka kwetu kutukomboa


Kaburi lilishindwa kukushika shujaa

Ukatoka na nguvu na mamlaka

Umeketi enzini wafungua wafungwa

Twakuabudu milele

Kaburi lilishindwa kukushika shujaa

Ukatoka na nguvu na mamlaka

Umeketi enzini wafungua wafungwa

Twakuabudu milele


Wastahili, wastahili

Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana

Halleluiah Halleluiah

Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana


Wastahili, wastahili

Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana

Halleluiah Halleluiah

Utukufu na nguvu zinawe ee Bwana

Mercy Masika - Wastahili (Official Video)