Chorus / Description :
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Neno lako ndio taa ya miguu yangu
Na kila nitembaopa naona nuru tu
Ninaposoma ninapata kuangaziwa
Njia yangu unaiona wanimulikia
Neno lako ndio taa ya miguu yangu
kila nitembaopa naona nuru
Nisiyoyajua nisiyoyaona
Wewe ni mwaminifu
Nitatembea na wewe
Chorus x3
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Ninapotembea nakutegemea
Nishike mkono wangu
Tembea nami Baba
Siwezi mimi bila wewe Bwana
Nitatembea nawe kila wakati
Ninapotembea nakutegemea
Nishike mkono wangu
Unionyeshe njia
Siwezi pekee yangu
Ninatembea nawe ninao ujasiri
Nitafika kule
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali
Wewe ni nuru katika mapito yangu
Wanimulikia njia naona mbali