Samuel Yonah - Mfariji

Chorus / Description : Yupo Mfariji
(There's a Comforter)
Yupo Mfariji
(There's a Comforter)
Mungu wangu
(My God)
Mfariji wangu*2
(Is my Comforter)

Mfariji Lyrics

MFARIJI LYRICS 
?Into
Ooooh
Ooooh oooh oooooh

?Verse I
Nia ya ndani ya moyo wangu 
(The sincere intention of my heart)
Ni kuku pendeza wewe 
(Is to please you)
Kuna wakati ninaelemewa 
(There are moments, I get weighted down)
Lakini najipa moyo 
(But I encourage myself)

Nguvu zako zinanipa kusonga 
(Your strength enable me to move)
Na kuendelea mbele 
(and keep moving forward)
Wanipa nguvu 
(You give me strength)
Wanifariji 
(You comfort me)

CHORUS:
Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Mungu wangu 
(My God)
Mfariji wangu*2 
(Is my Comforter)

VERSE II:
Mara nyingine tumehuzunishwa 
(There are times, we are made sad)
Na kuchoshwa moyo 
(And get exhausted within our hearts)
Kwa mengi 
(For a lot)
Neno moja ninalitambua 
(One word I know)
Yesu alisema yupo nami 
(Jesus said,He is with me)
Ooh

Nguvu zako zinanipa kusonga 
(Your strength enable me to move)
Na kuendelea mbele 
(and keep moving forward)

Wanifariji 
(You comfort me)
Wanifariji 
(You comfort me)

Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Mungu wangu 
(My God)
Mfariji wangu*2 
(Is my Comforter)

BRIDGE/:
Nguvu zako zina nipakusonga 
(Your strength enable me to move)
Na kuendelea mbele 
(and keep moving forward)

Wanifariji 
(You comfort me)
Wanifariji 
(You comfort me)

Uko nami 
You are with me 
Uko nami 
You are with me 

Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Yupo Mfariji 
(There's a Comforter)
Mungu wangu 
(My God)
Mfariji wangu*2 
(Is my Comforter)

...End...

Mfariji Video

  • Song: Mfariji
  • Artist(s): Samuel Yonah


Share: