Neema Gospel Choir - Nguvu Yetu

Chorus / Description : Bwana neno lako
Ni faraja kwetu na nguvu yetu
Lord, your word
Comforts us and gives us strength

Nguvu Yetu Lyrics

Bwana neno lako 
Ni faraja kwetu na nguvu yetu 
(x5)

Guza kanisa lako 
Watoto wako twaomba faraja yako
Guza watumishi wako 
Shambani mwako tutendalo kazi yako
(x2)

Utupe nguvu Baba 
Utufariji tena 
Maana neno lako ndilo nguvu yetu 
(x2)

Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu 
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
(x3)

Tutatwala tena (x3)
Na Bwana 
(repeat x4)

Bwana neno lako 
Ni faraja kwetu na nguvu yetu Translation:
Lord, your word
Comforts us and gives us strength
(x5)

Touch your church
Your children, we ask for your comfort
Touch your servants
In your farm in which we do your work
(x2)

Give us strength Father
Comfort us again
Because your word is our strength
(x2)

Without your presence Jesus we have no power
In you Jesus we find strength
(x3)

We shall reign again(x3)
With the Lord
(repeat x4)

Without your presence Jesus we have no power
In you Jesus we find strength

Nguvu Yetu Video

  • Song: Nguvu Yetu
  • Artist(s): Neema Gospel Choir
  • Album: Nguvu Yetu - Single
  • Release Date: 03 Jan 2023
Nguvu Yetu Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes

Nguvu Yetu - Neema Gospel Choir (Official Music Video)

Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ...Share:

Bible Verses for Nguvu Yetu

1st Corinthians 1 : 3

Grace to you and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ.

1st Corinthians 1 : 4

I thank my God always concerning you, for the grace of God which was given you in Christ Jesus;