Neema K - Kumbuka Moyo Wangu - Alisema Hatakuacha

Chorus / Description : Alisema hatakuacha
Alisema atakuwa nawee
Alisema Usiogope
Alisema Mimi ni Mungu wako
Wee eeh, wee eeh, wee ee moyo

Kumbuka Moyo Wangu - Alisema Hatakuacha Lyrics

Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakupenda
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakujali
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakuwaza
Kumbuka moyo wangu
Kunaye anakuthamini

Chorus
Alisema hatakuacha
Alisema atakuwa nawee
Alisema Usiogope
Alisema Mimi ni Mungu wako
Wee eeh, wee eeh, wee ee moyo 
Wee eeh, wee ee, wee ee moyo

Kumbuka moyo wangu
Yeye amani yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye furaha yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye uzima wako
Kumbuka moyo wangu
Yeye faraja yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye ni nguzo yako
Kumbuka moyo wangu
Yeye rafiki yako

Alisema hatakuacha
Alisema atakuwa nawee
Alisema Usiogope
Alisema Mimi ni Mungu wako
Wee eeh, wee eeh, wee ee moyo 
Wee eeh, wee ee, wee ee moyo 

Kumbuka moyo wangu
Usije ukainama
Kumbuka moyo wangu
Usije kata tamaa
Kumbuka moyo wangu
Usije katie shaka
Kumbuka moyo wangu
Yeye ni Mwaminifu. 


Kumbuka Moyo Wangu - Alisema Hatakuacha Video

  • Song: Kumbuka Moyo Wangu - Alisema Hatakuacha
  • Artist(s): Neema K


Share: