Wewe ni Mungu

By Neema K

Lyrics

Kwa Yale umeenda nitaimba wimbo huu

Kwa yake umenitendea nitaimba wote wasikie

Umetenda ya ajabu, maneno ya nanikosa

Umenitendea mengi mno hayawezi hesabika


wewe ni Mungu uu, Wewe ni Mungu uu

Unajibu Maombi ii, Unajibu maombi ii

wewe ni Mungu uu, Wewe ni Mungu uu

Unajibu Maombi ii, Unajibu maombi ii


Umenitoa kwenye shimo,shimo la utelezi 

Kaniinua kaniweka, kwenye mwamba IMara

Umeondoa aibu yangu, umenivisha vazi la heshima 

Umeondoa huzuni yangu, ukanipa furaha yako


wewe ni Mungu (imela), Wewe ni Mungu (imela)

Unajibu Maombi (imela), Unajibu maombi (imela)

Umwaminifu (imela), Umwaminifu (imela)

Wewe ni Mungu (imela), Umwaminifu (imela)


Nalingio nakumisio nalokumu zualokumu

Nelesi na zambe kumama lebela

Nalokumu zualokumu 


Niwega Gai Gai, Niwe Gai Gai

Niwe Gai Gai, Niwe Gai Gai


wewe ni Mungu (imela), Wewe ni Mungu (imela)

Unajibu Maombi (imela), Unajibu maombi (imela)

Umwaminifu (imela), Umwaminifu (imela)

Wewe ni Mungu (imela), Umwaminifu (imela)

WEWE NI MUNGU By NEEMA K