Patrick Kubuya - Sijaona kama wewe

Chorus / Description : Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu ya kusifu
Wewe mfalmee
Kwa Jina lako bwana wangu
Mabaya yote yatashuka
Ndani yako yesu baba
Mbele zako

Sijaona kama wewe Lyrics

Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe, muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu ewe mfalme
Kwa jina lako bwana wangu mabaya yote yanashindwa
Nani atayesimama mbele zako
Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo
Maarifa yako bwana ni makubwa
Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu zinatisha

Ummoja tangu mwanzo unapita na mawazo
Maarifa yako bwana ni makubwa
Kimbilio la vizazi sijaona kama wewe
Nguvu zako bwana wangu zinatisha
Bahari yakutii milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote
Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote
Bahari yakutii milima yatetemeka
Kwa sauti yako tu muumbaji wa vyote
Nini bwana wangu iliyo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo

Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe bwana
Ni wewe tangu mwanzo
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea
Pokea utukufu na sifa zote bwana pokea


Sijaona kama wewe Video

  • Song: Sijaona kama wewe
  • Artist(s): Patrick Kubuya
  • Album: Sijaona Kama Wewe - EP
  • Release Date: 19 Dec 2019
Sijaona Kama Wewe Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: