Lyrics Page

Moyo Wangu

By Patrick Kubuya

9,536 views Jun 6, 2026 updated

Moyo wangu
Moyo wangu usilie tena 
Moyo wangu usibabaike
Unaye mungu mukuu sana
Unaye mungu muweza wa yote .

Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu
Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena,
nina juwa shida zako,mimi nita zi tatua
Bila yesu mimi ni mtu bure
Bila yesu mimi ni mtu bure .

Kati giza Yesu mwanga wangu,
Kati huzuni Yesu ni mu fariji,
Kati vita Yesu mwamba wangu
Katika njaa Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio hajawahi kuni acha,
Yesu mwamba wangu mahali paku ji ficha
Yesu kimbilio hajawahi kuni acha,
Yesu mwamba wangu mahali paku ji ficha
Anajuwa shida zangu yeye ana zi tatua
Bila yesu mimi ni mtu bure
Bila yesu mimi ni mtu bure .

Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu
Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena,
Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu
Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena,
nina juwa shida zako,mimi nita zi tatua
Bila yesu mimi ni mtu bure
Bila yesu mimi ni mtu bure .

Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu
Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena,
Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu
Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena,
nina juwa shida zako,mimi nita zi tatua
Bila yesu mimi ni mtu bure
Bila yesu mimi ni mtu bure .

Ndani ya Kristo ninaweka,tumaini langu,
Sijuwe bila wewe Bwana wangu ninge kuwa wapi
Ndani ya Kristo ninaweka,tumaini langu,
Sijuwe bila wewe Bwana wangu ninge kuwa wapi
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH we ni yote kwangu .

Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH ningekuwa wapi
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH ningekuwa wapi
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH ningekuwa wapi
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH ningekuwa wapi
Eh YHWH we ni yote kwangu
Eh YHWH ningekuwa wapi .



Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.