Yesu ni Wimbo Wangu

By Patrick Kubuya

Lyrics

Yesu ni wimbo wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 

Yesu rafiki yangu Mungu wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 

Yesu rafiki yangu Mungu wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 

Wewe ndio mpenzi wangu sitakuacha 


Niende wapi nimekutambua wewe 

Nifuate nani kwako kuna utulivu  

Niende wapi nimekutambua wewe 

Nifuate nani kwako kuna utulivu  


Yesu ni wimbo wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 

Yesu rafiki yangu Mungu wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 

Yesu rafiki yangu Mungu wangu 

Furaha ya moyo wangu Yesu 


Niende wapi nimekutambua wewe 

Nifuate nani kwako kuna utulivu  

Niende wapi nimekutambua wewe 

Nifuate nani kwako kuna utulivu  


Tangu nilipokupokea eeh Yesu 

Wimbo wangu ikajawa na furaha eeh 

wimbo yangu ikajaa tumaini 

Tegemeo langu ni Yesu 

Msaada wangu wa karibu ni wewe eeh iye 

Nakutegemea Yesu uuuh...

Yesu Ni Wimbo Wangu