Chorus / Description :
Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi
Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami
Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata
Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana
Kwa maombi ninakutafuta
Usiende mbali na mimi Bwana
Jifunue kwangu nakusihi
Yote ninayoitaji ndani yako ninatayapata
Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana
Kwa maombi ninakutafuta
Usiende mbali na mimi Bwana
Jifunue kwangu nakusihi
Ninaomba nione mkono wako
Roho wako mtakatifu akae pamoja
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu
Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi
Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu
Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi
Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu