Patrick Kubuya - Fungua Mbingu

Chorus / Description : Fungua mbingu zako eh Bwana
Neema yako na ishuke
Tupo tayari tunangojea uwepo wako utivike
Mahali hapa jina lako linaabudiwa Bwana
Miujaza na maajabu yafanyika hapa

Fungua Mbingu Lyrics

Fungua mbingu zako eh Bwana 
Neema yako na ishuke 
Tupo tayari tunangojea neema yako na utivike 
Mahali hapa jina lako linaabudiwa  
Miujaza na maajabu yafanyika hapa 

Fungua mbingu zako eh Bwana 
Neema yako na ishuke 
Tupo tayari tunangojea uwepo wako utivike 
Mahali hapa jina lako linaabudiwa Bwana 
Miujaza na maajabu yafanyika hapa 

Roho wako na uvume , Miujiza na ifanyike 
Wagonjwe nawahitaji wakuone wewe 

Roho mtakatifu timiza mapenzi ya Bwana 
Tawala mahali hapo tuone wake Mungu 
Roho mtakatifu timiza mapenzi ya Bwana 
Tawala mahali hapo tuone wake Mungu

Roho tuhapa twangoja wakati wa Bwana 
Timiza mapenzi ya Bwana tuimbe hosana 

Fungua Mbingu Video

  • Song: Fungua Mbingu
  • Artist(s): Patrick Kubuya + Paul Clement


Share: