Pitson - Mungu Wa Eliya

Chorus / Description : Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto

Mungu Wa Eliya Lyrics

Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto

Maadui wangu waniandama
Maadui wangu waniandama
Maadui wangu waniandama

Wananiniuliza Mungu wapi?
Wananiniuliza Mungu wapi?
Wananiniuliza Mungu wapi?

Wananiuliza unafunga nini?
Wananiuliza unafunga nini?
Wananiuliza unafunga nini?

Wananiuliza unakesha nini?
Wananiuliza unakesha nini?
Wananiuliza unakesha nini?

Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto
Mungu wa Eliya shukisha moto

Mungu Wa Eliya Video

  • Song: Mungu Wa Eliya
  • Artist(s): Pitson


Share: