Uvumilivu Lyrics + Video

by Pitson | in African

Uvumilivu Lyrics

Nilisikia sauti yako ikiniita aah mwana wangu njoo, njoo ooh ooh ninakuita nikaachana na ya dunia, nikaokoka sikujua kuna uwezekano wooh uu wooh 
Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (kuna uwezekano) kuachana na njia (njia zako)zako na kupotoka (kupotoka) kuna uwezekano wa binadamu kuchoka ndio maana naomba nipe eeeh wooh uu wooh Nipe uvumilivu (nipe uvumilivu) nipe uvumilivu (nisipotoke kwa njia zako) nipe uvumilivu (nipe Baba, nipe Baba) nipe uvumilivu

Nilidhani nikifikisha, miaka ishirini na mbili nitakuwa na gari nzuri, na nyumba mzuri na pengine bibi nilidhani nikifungua, biashara Nairobi mjini nitapata wateja wengi, nitapata faida nyingi nimebaki na alama ya mshangao akilini kila siku kwa maombi, nauliza mbona mimi Kuna...

Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (binadamu kuchoka) kuachana na njia zako na kupotoka (kupotoka) kuna uwezekano wa binadamu(binadamu kama mimi) kuchoka ndio maana naomba nipe, nipe Baba, nipe Baba aaah Nipe uvumilivu (Baba uvumilivu) nipe uvumilivu (nisipotoke kwa njia zako) nipe uvumilivu (nisirudi nyuma nisahau Baba) nipe uvumilivu (wooh woouuooh)
Eeh,..Eeh,..Eeh Eeh,..Eeh,..Eeh

Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka kuachana na njia zako na kupotoka kuna uwezekano wa binadamu kuchoka kama unajua nasema ukweli, inua mikono na useme eeh Nipe uvumilivu (nipe Baba uvumilivu) nipe uvumilivu (nipe Baba uvumilivu) nipe uvumilivu (ooh nipe Baba, nipe Baba) nipe uvumilivu (nipe uvumilivu)


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Uvumilivu:

0 Comments/Reviews