Chorus / Description :
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya aaah ah ah
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya
East Africa Swahili uses Pokea instead of Pokeya
Kwa jina lako Baba yangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu
Wewe mfalme
Kwa jina lako Baba yangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama mbele zako
Sijaona kama wewe
Muumbaji wa mbingu na nchi
Roho yangu yakusifu
Wewe mfalme
Kwa jina lako Bwana wangu
Mabaya yote yanashuka
Nani atayesimama mbele zako
Umu mmoja tangu mwanzo
Unapita na mawazo
Maarifa yako Bwana ni makubwa
Kimbilio la vizazi
Sijaona kama wewe
Nguvu zako Bwana wangu zinatisha
Kimbilio la vizazi
Sijaona kama wewe
Nguvu zako Bwana wangu zinatisha
Bahari yakutii
Milima yatetemeka
Kwa sauti ya kuu
Muumbaji wa vyote
Nini Bwana wangu lililo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote
Bahari yakutii
Milima yatetemeka
Kwa sauti ya kuu
Muumbaji wa vyote
Nini Bwana wangu lililo ngumu kwako
Yote unaweza muumbaji wa vyote
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya aaah ah ah
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya
Pokeya utukufu na sifa zote
Bwana Pokeya