Reuben Kigame - Fadhili zake ni za Milele

Chorus / Description : Zaburi mia moja na thelathini na sita; tumshukuru Bwana na tuimbe pamoja (Psalms 100:36)

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ...x2
Give thanks to the Lord, His Steadfast Love Endures Forever

Fadhili zake ni za Milele Lyrics

Zaburi mia moja na thelathini na sita; tumshukuru Bwana na tuimbe pamoja (Psalms 100:36)

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ...x2

Mshukuruni Mungu wa miungu
Fadhili zake ni za milele
Mshukuruni Bwana wa mabwana
Fadhili zake ni za milele
Amefanya maajabu
Fadhili zake ni za milele
Yeye alifanya mbingu na nchi
Fadhili zake ni za milele
Sema Kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ... x2

Amefanya mianga mikubwa
Fadhili zake ni za milele
Jua litawale mchana
Fadhili zake ni za milele
Mwezi na nyota usiku
Fadhili zake ni za milele
Akatandaza nchi juu ya maji
Fadhili zake ni za milele
Imba kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele x2

Aliyeigawa Bahari ya Shamu
Fadhili zake ni za milele
Akavusha Waisiraeli
Fadhili zake ni za milele
Aliyemshinda Farao
Fadhili zake ni za milele
Na majeshi yake yote
Fadhili zake ni za milele
Sema kabisa

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele x2

Yeye aliyetukumbuka
Fadhili zake ni za milele
Katika unyonge wetu
Fadhili zake ni za milele
Atuokoaye na watesi
Fadhili zake ni za milele
Mungu kweli ni wa ajabu
Fadhili zake ni za milele

Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele ... x4


@ Reuben Kigame - Fadhili zake ni za milile
Give thanks to the Lord, His Steadfast Love Endures Forever

Fadhili zake ni za Milele Video

  • Song: Fadhili zake ni za Milele
  • Artist(s): Reuben Kigame
  • Album: Wastahili Bwana
  • Release Date: 10 Jul 2012
Fadhili Zake Ni Za Milele Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: