Chorus / Description :
Sina mungu mwingine, wa kutegemea
mbiguni na duniani, hapana mwingine
sina cha kupendeza, wala cha faida
# No-other-God
Sina Mungu mwingine, wa kutegemea
mbiguni na duniani, hapana mwingine
sina cha kupendeza, wala cha faida
ila wewe bwana wangu, Mungu wa milele
Mwili na moyo wangu, vyaweza zimia
mbali Mungu ndiye nguvu, za uhai wangu
yeye sehemu yangu, milele daima
nitaingia hema yake, na sifa zake kuu
Ni nani mwingine ajazaye roho yangu
na kunipa raha kamili
ni nani semeni, akomboaye mwanadamu
na kumshindia shetani
@ Reuben Kigame - Sina mungu mwingine
I have No other God.