Inuka - Msifu Bwana

By Ruth Wamuyu

Lyrics

Inuka msifu Bwana 

Inuka msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele  


Alituumba tumtukuze 

Tumpambe na sifa ni mwema 

Hakuna Mungu kama yeye 

Inuka msifu Bwana 


Inuka msifu Bwana 

Inuka msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele  


Tunapomsifu anainuka 

Anatenda mambo ya ajabu 

Sifa zetu kama manukato 

Inuka umsifu Bwana 


Akufunikaye na mbawa zake 

Akuondolea misiba yako 

Afanyaye nderemo za shangwe 

Zisikike nyumbani mwako, inuka 


Inuka msifu Bwana 

Inuka msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele  


Simama msifu Bwana 

Simama msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele  


Tembea msifu Bwana 

Tembea msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele  


Simama simama 

Simama msifu Bwana 

Tembea tembea 

Tembea msifu Bwana 


Inuka msifu Bwana 

Inuka msifu Bwana 

Kwa maana fadhili zake 

zadumu hata milele 

"Ruth Wamuyu - Inuka (Official Video)"