Chorus / Description :
Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2
Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2
Silaha Yoyote Itakayotumwa
Kwa Njia Moja Au Nyingine
Itawanyishwa Kwa Njia Saba
Haitafaulu x2
Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2
Yalionenwa
Na Walio Hai Na Walio Kufa
Chini Ya Maji Na Nchi Kavu
Haitafaulu x2
Hakuna Silaha Yeyote
Iliyotumwa Kinyume Chetu
Itakayofaulu x2
Hakuna,hakuna, hakuna
Itakayofaulu
Neno La Mungu Linasema Hakuna,
Uchawi, Mapepo, Unganga, Ushirikina
Itakayofaulu
Usiogope, Simama Na Neno La Mungu
@Sarah K - Hakuna Silaha