Chorus / Description :
Mungu wangu Mungu wangu
Mungu wa mbinguni
Nisaidie Baba nimalize safari
Mungu wangu Mungu wangu
Mungu wa mbinguni
Nisaidie Baba nimalize safari
Mungu wangu Mungu wangu
Mungu wa mbinguni
Nisaidie Baba nimalize safari
Safari yangu safari yangu
Safari yangu, Safari yangu
Safari yangu imejawa misukosuko
Safari yangu imejawa masimango
Safari yangu imajawa makwazo
Safari yangu imejawa majaribu
Pekee yangu mimi siwezi
Pekee yangu siwezi kwenda Baba
Mungu wangu Mungu wangu
Mungu wa mbinguni
Nisaidie Baba nimalize safari
Wewe ni niko ambaye niko Baba
Wewe ni mwanzo tena wewe ni mwisho
Wewe ni alpha na Omega
Umesema tukuite nawee utaitika Baba
Tuko tuko hapa Baba
Twahitaji uponyaji wako, twahitaji baraka zao
Twahitaji ulinzi wako, twahitaji uguso wako Baba
Twahitaji uwepo wako
Mungu wangu Mungu wangu
Mungu wa mbinguni
Nisaidie Baba nimalize safari