Sifaeli Mwabuka - Usiogope Maneno Yao

Chorus / Description : Usiogope maneno yao hao ni wanadamu wewe songa
Watasema yenye kukuvunja moyo wewe songa
Ijapokuwa yanaudhi sana kaza moyo mama wewe songa
Watasema wokovu gani wewe ulio nao wewe songa
Watasema tunakujua sana tulikuwa tukilewa sote, wewe songa
Maneno ya wanadamu yasikurudishe nyuma wewe songa
Maneno ya wanadamu yasikuvunjishe moyo wewe songa

Usiogope Maneno Yao Lyrics

Usiogope maneno yao hao ni wanadamu wewe songa 
Watasema yenye kukuvunja moyo wewe songa 
Ijapokuwa yanaudhi sana kaza moyo mama wewe songa 
Watasema wokovu gani wewe ulio nao wewe songa 
Watasema tunakujua sana tulikuwa tukilewa sote, wewe songa 
Maneno ya wanadamu yasikurudishe nyuma wewe songa 
Maneno ya wanadamu yasikuvunjishe moyo wewe songa  .

Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele  .

Yesu alikuja kutafuta aliyepotea ni mimi na wewe 
Tulikuwa wasinzi kweli tulikuwa waovu kweli 
Tulikuwa hatueleweki machoni pa Mungu wetu  .

Alipotupata tumebalika (rudia)
Tumesamehewa dhambi zetu 
Tumelipiwa deni hatudaiwi tena 
Tunaitwa watoto wake Baba wetu ni mmoja  .

Usiogope maneno ya wanadamu usiogope  
Usiogope maneno ya wanadamu usiogope 
Heshimu neno la Mungu maana ndiyo yana uzima 
Heshimu maneno ya Mungu maana ndiyo msaada wako  .

Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele 
Akusimamie songa mbele  .

Wakati mwingine wanasema ili wapate sababu utawajibu nini 
Wakati mwingine wanasema ili kuharibu imani yako 
Wakati mwingine wanasema ili wapate sababu ya kukushitaki kwa Mungu ...
Maneno yako ya kinya chako yanakufunga mwenyewe heri unyamaze 

Usiogope Maneno Yao Video

  • Song: Usiogope Maneno Yao
  • Artist(s): Sifaeli Mwabuka


Share: