Chorus / Description :
Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Tupande milima yote
Eeeh Bwana utupandishe
Natamani fanana kama wewe
Natamani fanana kama wewe
Natamani fanana kama wewe Yesu
Natamani fanana kama wewe
Natamani fanana kama wewe
Natamani fanana kama wewe Yesu
Bwana nitengeneze, nitengeneze
Bwana nitengeneze, nitengeneze
Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Tupande milima yote
Eeeh Bwana utupandishe
Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Tupande milima yote
Eeeh Bwana utupandishe
Nisikae duniani
Ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni
Nitafika kwa imani
(repeat)
Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Eeeh Bwana nipandishe