Chorus / Description :
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe,
Mwenye nguvu na uwezo ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Ufanye moyo wangu uwe wa kukuabudu baba yangu.
Yafanye maisha yangu yawe ya kukusifu wewe
Maana pweke wastahili heshima na utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Peke yako wastahili heshima na utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe.
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Nilizaliwa mimi kwa neeema yako, niliumbwa baba kwa mfano wako.
Yanipasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza