Chorus / Description :
Na sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya
Masimango na maneno makali ndio yaliyokuwa fungu langu
Shida taabu ziliumiza sana moyo wangu
Masimango na maneno makali ndio yaliyokuwa fungu langu
Maamivu ya moyo yaliinamisha nafsi yangu
Asante Yesu kwa kuwa uliona taabu yangu
Nakushukuru kwa kuwa uliona msiba wangu
Na sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya
Walikuwa ni mahipokriti
Hawakuwa ni marafiki wangu wa kweli
Ikifika ni wakati wa mahitaji
Waniepa manze kila wakati
Hawakutaka mi niokoke kabisa
Walitaka mimi nichanganye kabisa
Ona vile mimi ninang'ara kabisa
Ju nilifuata Yesu kabisa
Yesu wangu mi nakufuata
Wacha hao waendee naree
Na sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu mwingi wa huruma
Umenishika mkono mbele naendelea
Eeh Yesu mwingi wa huruma
Umenishika mkono mbele naendelea
Uko nami, uko nami Baba
Uko nami, uko nami Baba
Waonyeshe waonyeshe
Waonyeshe uko nami eeeh
...